Springfield, Illinois

Springfield ni jina la mji mkuu wa jimbo la Illinois nchini Marekani. Mji upo karibu kabisa na jimbo lake. Katika sensa iliofanyaika mnamo mwaka wa 2000, mji huu wa Springfield ulikuwa na takriban watu 110,000 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 182 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Springfield






Springfield

Bendera
Springfield is located in Marekani
Springfield
Springfield

Mahali pa mji wa Springfield katika Marekani

Majiranukta: 39°46′59″N 89°39′1″W / 39.78306°N 89.65028°W / 39.78306; -89.65028
Nchi Marekani
Jimbo Illinois
Wilaya Sangamon
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 116,482
Tovuti:  www.springfield.il.us
Barack Obama na Michelle Obama katika Springfield

Viungo vya Nje hariri



Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Springfield, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.