Open main menu

Bismarck ndiyo mji mkuu katika jimbo la North Dakota. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 108,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 514 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Bismarck
Ikulu ya North Dakota
Ikulu ya North Dakota
Bismarck is located in Marekani
Bismarck
Bismarck
Mahali pa mji wa Bismarck katika Marekani
Majiranukta: 46°48′48″N 100°46′44″W / 46.81333°N 100.77889°W / 46.81333; -100.77889
Nchi Marekani
Jimbo North Dakota
Wilaya Burleigh
Idadi ya wakazi
 - 62,840
Tovuti: www.bismarck.org


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bismarck, North Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.