Trenton, New Jersey

mji mkuu wa New Jersey, Marekani na kiti cha Mercer County, New Jersey, Marekani

Trenton ndiyo mji mkuu katika jimbo la New Jersey. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 82,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 16 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji wa Trenton, New Jersey


Trenton

Bendera
Trenton is located in Marekani
Trenton
Trenton

Mahali pa mji wa Trenton katika Marekani

Majiranukta: 40°13′18″N 74°45′22″W / 40.22167°N 74.75611°W / 40.22167; -74.75611
Nchi Marekani
Jimbo New Jersey
Wilaya Mercer
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 82,804
Tovuti:  www.TrentonNJ.org


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya New Jersey bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trenton, New Jersey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.