Austin ndiyo mji mkuu katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 149 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Ziwa la Lady bird Lililopo katika mji wa Austin


Austin
Austin is located in Marekani
Austin
Austin

Mahali pa mji wa Austin katika Marekani

Majiranukta: 30°18′2″N 97°44′50″W / 30.30056°N 97.74722°W / 30.30056; -97.74722
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Travis
Williamson
Hays
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 743,074
Tovuti:  http://www.ci.austin.tx.us/

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Austin, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.