Saint Paul, Minnesota

Saint Paul ni jina la mji mkuu wa jimbo la Minnesota huko nchini Marekani. Upo katika eneo la Mto Mississippi kutoka Minneapolis. Pale watu wanapozungumzia kuhusu miji hii, wanaiita Miji Pacha. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 214 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 145.5 km².

Mji wa Saint Paul, Minnesota






St. Paul

Bendera
St. Paul is located in Marekani
St. Paul
St. Paul

Mahali pa mji wa St. Paul katika Marekani

Majiranukta: 44°56′39″N 93°05′07″W / 44.94417°N 93.08528°W / 44.94417; -93.08528
Nchi Marekani
Jimbo Minnesota
Wilaya Ramsey
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 287,151
Tovuti:  http://www.stpaul.gov/
Mahali pa St. Paul katika Ramsey County na Minnesota

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint Paul, Minnesota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.