Boise, Idaho

Boise ndiyo mji mkuu katika jimbo la Idaho. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 590,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 824 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mkoa wa Boise, Idaho


Boise
Boise is located in Marekani
Boise
Boise

Mahali pa Boise katika Marekani

Majiranukta: 43°36′49″N 116°12′12″W / 43.61361°N 116.20333°W / 43.61361; -116.20333
Nchi Marekani
Jimbo Idaho
Wilaya Ada
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 202,832
Tovuti:  www.CityofBoise.org
Mahali pa Boise katika Idaho
Football Marekani katika Boise State UniversityMiji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boise, Idaho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.