Santa Fe, New Mexico

Santa Fe (kwa Kihispania "Imani takatifu") ndiyo mji mkuu katika jimbo la New Mexico.

Jiji la Santa Fe


Santa Fe
Nchi Marekani
Jimbo New Mexico
Wilaya Santa Fe
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 72,056

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2006, mji una wakazi wapatao 180,000 wanaoishi katika mji huu.

Mji upo m 2134 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santa Fe, New Mexico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.