Bermuda
(Elekezwa kutoka Bermudas)
| |||||
Wito: Quo Fata Ferunt (Kilatini: Pote heri inapotupeleka) | |||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Hali ya kisiasa | Eneo la ng'ambo la Uingereza | ||||
Mji mkuu | Hamilton (Bermuda) | ||||
Gavana | Sir John Vereker | ||||
Waziri Mkuu | Alex Scott | ||||
Eneo | 53.2 km² | ||||
Wakazi
|
64,237 1 207/km² | ||||
Pesa | Bermuda dollar sawa na US dollar | ||||
Kanda la saa | UTC -4 | ||||
Wimbo wa taifa | God Save the Queen | ||||
Interneti TLD | .bm | ||||
Simu | 1-441 |
Bermuda ni funguvisiwa lenye visiwa 130 katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Marekani ambalo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Umbali na Amerika bara ni km 1,000.
Visiwa hivyo vilikuwa bila watu vilipotembelewa mara ya kwanza na Wahispania.
Tangu mwaka 1615 vimetawaliwa na Uingereza.
Wakazi wengi wamejitambulisha kuwa na asili ya Afrika (54%) na Ulaya (31%). Wengine ni machotara (8%) na wenye asili ya Asia (4%).
Lugha rasmi na ya kawaida ni Kiingereza.
Upande wa dini, 69,8% ni Wakristo (46.2% Waprotestanti, 14.5% Wakatoliki n.k.).
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|