CEN-SAD(kifupisho cha Community of Sahel-Saharan States; kwa Kiarabu: تجمع دول الساحل والصحراء; kwa Kifaransa: Communauté des Etats Sahélo-Sahariens; kwa Kireno: Comunidade dos Estados Sahelo-Saarianos) ni muundo wa kimataifa unaolenga kuunda eneo la soko huria ndani ya Afrika. There are questions with regard to whether its level of economic integration qualifies it under the enabling clause of the General Agreement on Tariffs and Trade (GATT).

CEN SAD
CEN SAD

Uundaji hariri

CEN-SAD ilianzishwa na nchi 6 mnamo Februari 1998 lakini kwa sasa ziko 29. Zote ni pia wanachama wa miundo mingine ya ushirikiano wa kiuchumi yenye lengo la kuunda Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika.

Orodha ya wanachama hariri

Founding members (1998)

Subsequent members


Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 "CEN-SAD celebrates 13th anniversary". Panapress. 4 February 2011. Iliwekwa mnamo 26 October 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Cape Verde becomes CEN-SAD's 29th member country". www.panapress.com. 

Viungo vya nje hariri