Eneo bunge la Marakwet Mashariki

(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Marakwet East)


Eneo bunge la Marakwet Mashariki ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge mane katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Eneo bunge hili lina wadi kumi na moja, zote ambazo huchagua madiwqani katika Baraza la Mji wa Marakwet.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo Bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka wa 1992 likijulikana kama eneo bunge la Kerio East , na kubadilishwa hadi muundo wake wa sasa kwenye uchaguzi wa 1997.

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1992 Fredrick K. Cheserek KANU
1997 John Kiptoo Marirmoi KANU
2002 Linah Jebii Kilimo NARC
2007 Linah Jebii Kilimo KENDA
'
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Embobut 2,482
Embolot 1,847
Endo 2,981
Kaptich 1,440
Kapyego 2,433
Kipkaner 1,688
Koibirir 2,373
Mokoro 1,755
Mon 3,026
Murkutwo 1,731
Sambirir 3,301
Jumla 25,057

Marejeo

hariri
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.