Eneo bunge la Kangundo


Eneo bunge la Kangundo ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Mi moja kati ya majimbo nane ya kaunti ya Machakos na lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la mji wa Kangundo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1969. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Paul Ngei.

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1969 Paul Ngei KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Paul Ngei KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Paul Ngei KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Paul Ngei KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Paul Ngei KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1990 Joseph Kimeu Ngutu KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Joseph Wambua Mulusya DP
1997 Joseph Kimeu Ngutu KANU
2002 Moffat Muia Maitha Sisi kwa Sisi
2007 Johnson Nduya Muthama ODM-Kenya

Kata na Wodi hariri

Kata
Jina la Kata Idadi ya
Watu
Kakuyuni 19,098
Kalandini 10,294
Kangundo 34,565
Kanzalu 22,334
Kawathei 19,035
Kivaani 15,961
Koma rock 9,505
Kyanzavi 23,417
Kyeleni 13,402
Matungulu 24,028
Nguluni 13,460
Tala 27,220
Jumla x
Wodi
Wodi wapiga Kura
waliojisajili
Kangundo East 10,009
Kangundo North 21,800
Kangundo West 11,124
Matungulu East 21,118
Matungulu North 12,780
Matungulu West 13,345
Jumla 90,176
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri