Eneo bunge la Ndaragwa


Eneo bunge la Ndaragwa ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi nne, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Fredrick Kimondo Wagura KANU Mfumo wa Chama kimoja
1992 W. Gichuki Mwangi DP
1997 Thirikwa Kamau DP
2002 Geoffrey Gachara Muchiri NARC
2007 Jeremiah Ngayu Kioni PNU
Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Kiriita 6,769
Leshau Pondo 10,529
Ndaragwa 12,888
Shamata 8,600
Jumla 38,786
Septemba 2005 | [2]

Marejeo

hariri