Ignas wa Loyola
Ignas wa Loyola (kwa Kieuskara Inigo Loiolakoa, kwa Kihispania Ignacio de Loyola; Loyola, Guipúzcoa, leo nchini Hispania, 1491 - Roma, Italia, 31 Julai 1556) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Yesu na wa mtindo wa mazoezi ya kiroho.
Awali aliishi katika ikulu ya mfalme na katika jeshi, mpaka alipojeruhiwa vibaya vitani, ndipo alipomuongokea Mwenyezi Mungu. Akiwa anasoma teolojia huko Paris, alipata wenzake wa kwanza, ambao pamoja nao alianzisha shirika jipya huko Roma, alipofanya utume wenye matunda mengi, akiandika vitabu na kulea wafuasi kwa utukufu mkubwa zaidi wa Mungu.
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 27 Julai 1609, halafu Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.
Sala yake
haririPokea, Bwana, hiari yangu yote.
Pokea kumbukumbu, akili na utashi wote.
Vyovyote nilivyonavyo au kuvimiliki nimejaliwa na wewe: nakurudishia vyote na kuukabidhi utashi wako uvitawale.
Unijalie tu upendo wako na neema yako, nami nitakuwa tajiri kutosha, nisitamani kitu kingine chochote.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMaandishi
hariri- The Spiritual Exercises of St Ignatius, TAN Books, 2010. ISBN 9780895551535
Marejeo ya Kiswahili
hariri- A. JOU, S.J., Kazaliwa Kupigana Vita, Simulizi juu ya Mt. Inyasi wa Loyola kwa ajili ya Vijana (hasa wa kiume) – tafsiri ya Ofisi ya Taifa ya Utume wa Sala, Tanzania – ed. Ofisi ya Taifa ya Utume wa Sala, Tanzania – Dodoma 2001 – ISBN 0856-5589
Marejeo mengine
haririMuhimu zaidi
- Loyola, (St.) Ignatius (1964). The Spiritual Exercises of St. Ignatius. Anthony Mottola. Garden City: Doubleday. ISBN 9780385024365.
- Loyola, (St.) Ignatius (1992). John Olin (mhr.). The Autobiography of St. Ignatius Loyola, with Related Documents. New York: Fordham University Press. ISBN 082321480X.
- Foss, Michael (1969). The Founding of the Jesuits, 1540. Turning Points in History Series. London: Hamilton. ISBN 0241015138.
Mengine
- Bartoli, Daniello (1855). History of the Life and Institute of St. Ignatius de Loyola: Founder of the Society of Jesus. New York: Edward Dunigan and Brother.
- Caraman, Philip (1990). Ignatius Loyola: A Biography of the Founder of the Jesuits'. San Francisco: Harper & Row. ISBN 0062501305.
- O'Malley, John W. (1993). The First Jesuits. Cambridge: Harvard University Press. ISBN 0674303121.
- Meissner, William (1992). Ignatius of Loyola: The Psychology of a Saint. New Haven: Yale University Press. ISBN 0300060793.
- García Villoslada, Ricardo (1986). San Ignacio de Loyola: Nueva biografía (kwa Spanish). La Editorial Católica. ISBN 8422012677.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Historia ya maisha yake
hariri- Life of St. Ignatius of Loyola, TAN Books, 1997. ISBN 9780895553454
- St. Ignatius of Loyola, TAN Books, 2008. ISBN 9780895556240
Viungo vya nje
hariri- "St. Ignatius of Loyola, Confessor", Butler's Lives of the Saints
- The Life of St. Ignatius of Loyola, Confessor & Founder of the Jesuits Ilihifadhiwa 18 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- Shughuli au kuhusu Ignas wa Loyola katika maktaba ya WorldCat catalog
- Biography of Ignatius of Loyola
- The Spiritual Exercises of St. Ignatius Ilihifadhiwa 19 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. Translation by Elder Mullan, S.J.
- Letters of St. Ignatius of Loyola Ilihifadhiwa 17 Juni 2012 kwenye Wayback Machine.
- St. Ignatius Loyola and Opus Dei
- "Contemplation to Attain Love", by Ignatius of Loyola
- The Goa Jesuit Province of the Society of Jesus
- Founder Statue in St Peter's Basilica
- FamiliaIgnaciana.com - Comunidad de Ignacianos en los Estados Unidos Ilihifadhiwa 25 Juni 2014 kwenye Wayback Machine.
- Saint Ignatius' College
- Finding God In All Things Ilihifadhiwa 13 Desemba 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |