Eneo bunge la Makueni


Eneo bunge la Makueni ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Linapatikana katika kaunti ya Makueni iliyoko Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya uchaguzi katika kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1966

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966 Julius Kyengo Ndile KANU
1969 Jackson Kasanga Mulwa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Jackson Kasanga Mulwa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Jackson Kasanga Mulwa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Paul Mulwa Sumbi KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Stephen Kyonda KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Peter E. N. Maundu KANU
1997 Paul Mulwa Sumbi SDP Sumbi aliaga dunia mnamo 1998
1998 Peter E. N. Maundu KANU Uchaguzi Mdogo
2002 Kivutha Kibwana NARC
2007 Peter Kiilu ODM-Kenya

Kata na Wodi

hariri
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Baraza la Utawala wa Mitaa
Kikumini 2,726 Wote (Mji)
Muvau 2,772 Wote (Mji)
Nziu 4,803 Wote (Mji)
Wote 5,596 Wote (Mji)
Kathonzweni 13,422 Makueni county
Kithumba / kalamba 5,806 Makueni county
Mavindini 12,299 Makueni county
Mbitini 11,281 Makueni county
Mulala / Emali 8,324 Makueni county
Nguu 8,356 Makueni county
Nzaui / Kilili 6,346 Makueni county
Jumla 81,731
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri