Eneo bunge la Rarieda


Eneo bunge la Rarieda ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili ya Kaunti ya Siaya. Eneo lote la Jimbo hili liko chini ya baraza la Bondo County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilibuniwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Bob Francis Jalang’o KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Achieng Oneko Ford-Kenya
1997 George Odeny Ngure NDP
2002 Raphael Tuju NARC
2007 Nicholas Gumbo ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Central Asembo 7,480
East Asembo 6,378
Madiany East 10,372
Madiany West 11,038
Rarieda West 8,403
Jumla 43,671
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri