Kenya Commercial Bank (Uganda)
Kenya Commercial Bank (Uganda) (KCB), pia hujulikana kama KCB Uganda ni benki ya biashara nchini Uganda. Inalenga kutimiza mahitaji ya kibenki ya watu binafsi na makampuni.
Ilipoanzishwa | 2007 |
---|---|
Makao Makuu | Commercial Plaza, Kampala Road, Kampala, Uganda |
Tovuti | http://www.kcbbankgroup.com/ug |
Kundi la Kenya Commercial Bank
haririKenya Commercial Bank (Uganda) ni mwanachama wa kampuni za KCB Group, ambazo ni:
- Kenya Commercial Bank - Nairobi, Kenya
- KCB Rwanda - Kigali, Rwanda
- KCB Kusini mwa Sudan - Juba, Kusini mwa Sudan
- KCB Tanzania - Dar es Salaam, Tanzania
- KCB Uganda - Kampala, Uganda
- KCB Foundation Limited - Nairobi, Kenya
- KCB Sports Sponsorship Limited - Nairobi, Kenya
- Savings & Loan Kenya Limited - Nairobi, Kenya
KCB Group ndio kundi kubwa zaidi ya huduma za kifedha katika Afrika Mashariki, pamoja na wigo wa mali zaidi ya juu US $ 2.5. Kotoka Julai 2009, KCB Group ina mtandao wa mkubwa zaidi wa matawi ya benki likijumuisha zaidi ya matawi 180 nchini Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda.
Historia
haririMnamo Novemba 2007, tawi la kwanza la KCB Uganda lilifunguliwa Kampala nchini Uganda, baada ya kupewa leseni na Benki ya Uganda. Tangu wakati huo, KCB Uganda imefungua matawi zaidi ya kumi na tatu nchini Uganda. KCB Group inamiliki 100% ya KCB Uganda. Hisa ya KCB Group ni hufanyiwa biashara katika masoko ya hisa ya Afrika Mashariki yafwatayo chini ya kiashirio "KCB":[1]
Mtandao wa matawi
haririKCB Uganda ina mtandao wa matawi kumi na nne mashariki, kaskazini na magharibi mwa Uganda. Miongoni mwa maeneo ambako benki hili lina matawi ni:[2][3]
- Tawi la Arua - Arua
- Tawi la Gulu - Gulu
- Tawi la Lira - Lira
- Tawi la Mbale - Mbale
- Tawi Kuu - Barabara la Kampala, Kampala
- Tawi la Ben Kiwanuka - Barabara la Ben Kiwanuka, Kampala
- Tawi la Barabara la Luwuum - Barabara la Luwuum, Kampala
- Tawi la Ndeeba - Ndeeba, Kampala
- Tawi la Hoima - Hoima
- Tawi la Fort Portal - Fort Portal
- Tawi la Mbarara - Mbarara
- Tawi la Kabale - Kabale
- Tawi la Masaka - Masaka
- Tawi la Jinja - Jinja
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Kuorodheshwa kwa KCB katika masoko ya hisa yote Afrika Mashariki
- ↑ "Matawi ya KCB Uganda". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-01. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
- ↑ Mtandao wa matawi ya KCB nchini Uganda
Viungo vya nje
hariri- Kenya Commercial Bank Homepage Ilihifadhiwa 13 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.