Katerina Tomas

Katerina Tomas (jina kamili kwa Kikatalunya: Catalina Tomàs i Gallard[3][4]; Walldemossa, Mallorca, Visiwa vya Baleari, Hispania, 1533 - Palma de Mallorca, 5 Aprili 1574) alikuwa mmonaki wa Wakanoni wa Mt. Augustino, maarufu kwa sala na karama zake[5].

Mt. Katerina katika kanisa la kijiji chake cha kuzaliwa[1][2].

Papa Pius VI alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Agosti 1792, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 22 Juni 1930[3][4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili[6].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Santa Catalina Shrine (Valldemossa). Mallorcamaps. Iliwekwa mnamo 14 December 2015.
  2. Valldemossa, Mallorca. SeeMallorca. Iliwekwa mnamo 14 December 2015.
  3. 3.0 3.1 Saint Catherine of Palma. CatholicSaints.Info. Iliwekwa mnamo 13 December 2015.
  4. 4.0 4.1 (1904) "B. Catherine (15) Tomas", A Dictionary of Saintly Women. George Bell and sons, 163. 
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92317
  6. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.