Montserrat
Montserrat ni eneo la ng'ambo la Ufalme wa Muungano lililopo katika Karibi.
Ni kisiwa chenye urefu wa kilometa 16 na upana wa kilometa 11, kikiwa na kilometa 40 hivi za pwani.
Kwa jumla ni kilometa mraba 102 wanakoendelea kuishi watu 4,900 baada ya wengi zaidi kuhama kutokana na milipuko ya volkeno iliyotokea kuanzia mwaka 1995 baada ya karne kadhaa za utulivu.
Wananchi wengi wanatokana na watumwa kutoka Afrika na kutoka Eire waliozaliana zamani za ukoloni wa Waingereza.
Viungo vya nje
hariri
- Serikali
- Taarifa za jumla
- Montserrat entry at The World Factbook
- Montserrat Archived 7 Juni 2008 at the Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs.
- Montserrat katika Open Directory Project
- Montserrat Webdirectory Archived 5 Juni 2005 at the Wayback Machine.
- Wikimedia Atlas of Montserrat
- Vyombo vya habari
- Montserrat Reporter news site Archived 2 Februari 2011 at the Wayback Machine.
- Radio Montserrrat—ZJB Listen live online Archived 14 Machi 2015 at the Wayback Machine.
- Safari
- Afya
- Toxicity of volcanic ash from Montserrat Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine. by RT Cullen, AD Jones, BG Miller, CL Tran, JMG Davis, K Donaldson, M Wilson, V Stone, and A Morgan. Institute of Occupational Medicine Research Report TM/02/01.
- A Health Survey of Workers on the Island of Montserrat Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine. by HA Cowie, MK Graham, A Searl, BG Miller, PA Hutchison, C Swales, S Dempsey, and M Russell. Institute of Occupational Medicine Research Report TM/02/02.
- A Health Survey of Montserratians Relocated to the UK Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine. by HA Cowie, A Searl, PJ Ritchie, MK Graham, PA Hutchison, and A Pilkington. Institute of Occupational Medicine Research Report TM/01/07.
- Mengineyo
- Montserrat Volcano Observatory Archived 2 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- Official release archive
- Antigua, Montserrat and Virgin Islands Gazette Archived 21 Novemba 2014 at the Wayback Machine. at the Digital Library of the Caribbean.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Montserrat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |