Orodha ya waandishi wa Tanzania
Orodha hii inaonyesha baadhi ya waandishi wa Tanzania pamoja na kazi zao.
- Agoro Anduru (1948–1992), mwandishi wa riwaya fupi
- Fadhy Mtanga (1981– ), mwandishi wa riwaya na mpiga picha
- Abdulrazak Gurnah (1948– ), mwandishi wa riwaya
- Ebrahim N. Hussein (1943– ), mwandishi wa michezo na insha pamoja na mfasiri
- Prince Kagwema (1931– ), mtunzi wa riwaya
- Euphrase Kezilahabi (1944–2020), mtunzi wa riwaya na mshairi
- Ben Owden
- Jacqueline Massawe, mshairi[1].
- Aniceti Kitereza (1896–1981), mtunzi wa riwaya
- Elieshi Lema (1949– ), mwandishi wa riwaya [2]
- Amandina Lihamba (1944– ), playwright[3]
- Ismael R. Mbise, mtunzi wa riwaya
- Penina Muhando (1948– ), playwright[4].
- Sandra A. Mushi, fiction writer, mshairi[5].
- Elvis Musiba (alifariki 2010), mwandishi wa riwaya za Kiswahili[6].
- Godfrey Mwakikagile (1949– ), mwandishi
- Christopher Richard Mwashinga (1965– ), mshairi na mwandishi wa insha
- Ras Nas, mshairi na mwanamuziki
- Julius Nyerere (1922–1999), mwandishi na mfasiri
- Nancy Sumari (2013–2020), mwandishi wa vitabu vya watoto [7].
- Peter Palangyo (1939–1993), mtunzi wa riwaya
- Hammie Rajab, mwandishi wa riwaya za Kiswahili[8].
- Shaaban Robert (1909–1962), mshairi na mtunzi wa riwaya
- Emily Ruete (1844–1924)
- Gabriel Ruhumbika (1938– ), mtunzi wa riwaya na masimulizi
- Edwin Semzaba, mtunzi wa riwaya, mwigizaji na muongozaji
- Shaaban Robert (1902–1962), mshairi, mwandishi wa insha na wa vitabu
- Shafi Adam Shafi, mtunzi wa riwaya za Kiswahili [9]
- Erica Sugo Anyadike, mwandishi na mtunzi wa masimulizi mafupi
- Simon Rieber, mwandishi na mchoraji
- Josephs Quartzy, mwandishi na mwigizaji
- Nahida Esmail, mwandishi na mtunzi wa masimulizi mafupi[10]
- Daniel Mbega, mwandishi, mchapishaji na mtunzi wa riwaya
- Daudi Lubeleje, mwandishi na msanifu wa kazi za uandishi
- Richard Richard Mwambe (2012-), mwandishi na mtunzi wa riwaya za kipelelezi
- Suleiman A. Kijogoo, mwandishi wa vitabu vya saikolojia ya maisha, riwaya na vitabu vya shuleni
Marejeo
hariri- ↑ Jacqueline Kibacha, social justice poet and activist https://web.archive.org/web/20110313075832/http://www.theafronews.eu/cover_stories-jacqueline_kibacha_social_justice_poet_and_activist_1585.html |date=13 March 2011 }}.The AfroNews, 15 December 2009.
- ↑ "Elieshi Lema (Tanzania)". Centre for Creative Arts. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Juni 2017. Iliwekwa mnamo 2015-08-30.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 'Lihamba, Amandina', in Simon Gikandi & Evan Mwangi, The Columbia Guide to East African Literature in English Since 1945, pp. 94–5.
- ↑ Lee Nichols, Conversations with African Writers: interviews with twenty-six African authors, 1981, pp. 139ff.
- ↑ Profiled Archived 13 Machi 2012 at the Wayback Machine. in Soma Magazine
- ↑ Judica Tarimo, EA Community mourns Musiba, IPP Media, 4 November 2010.
- ↑ MEET THE AUTHOR: Writing for a future generation
- ↑ Mikhail D. Gromov, Swahili Popular Literature in Recent Years https://web.archive.org/web/20110929150240/http://www.ifeas.uni-mainz.de/SwaFo/SF_15_02_Gromov.pdf |date=29 September 2011 }}, Swahili Forum 15 (2008):5–13
- ↑ Xavier Garnier, Le roman swahili: la notion de littérature mineure à l'épreuve, 2006, p. 122.
- ↑ https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/magazines/success/nahida-esmail-on-writing-books-2587196,
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya waandishi wa Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |