Papa Benedikto II
Papa Benedikto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Juni 684 hadi kifo chake tarehe 8 Mei 685[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2][3].
Jina la baba yake lilikuwa Yohane.
Alimfuata Papa Leo II akafuatwa na Papa Yohane V.
Mwimbaji wa Kanisa tangu utotoni, alijulikana kwa ujuzi wa Biblia na muziki. Pia alipenda ufukara, alikuwa mpole na mnyenyekevu, na kung'aa kwa uvumilivu na huruma kwa wahitaji.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |