Papa Marcello I

Papa Marcello I alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 308 hadi kifo chake mwaka wa 309.

Papa Marcello I.

Alimfuata Papa Marcellinus aliyekufa wakati wa dhuluma ya Kaisari Diokletiano dhidi ya Wakristo.

Marcello I alifungwa na Kaisari Maxentius na kufariki uhamishoni. Alifuatwa na Papa Eusebius.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 16 Januari[1].

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.