Papa Marcello I

(Elekezwa kutoka Papa Marcellus I)
Papa Marcello I.

Papa Marcello I alikuwa papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 308 hadi kifo chake mwaka wa 309. Alimfuata Papa Marcellinus aliyekufa wakati wa dhuluma ya Kaisari Diokletiano dhidi ya Wakristo.

Marcello I alifungwa na Kaisari Maxentius na kufariki uhamishoni. Alifuatwa na Papa Eusebius.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Kuhusu Papa Marcello I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.