Papa Soter

Papa Soter alikuwa Papa kuanzia takriban mwaka 162/168 akaendelea hadi kifo chake mwaka 170/177)[1][2]. Alitokea Fondi, Italia.

Papa Soter

Alimfuata Papa Anicetus akafuatwa na Papa Eleutero.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Annuario Pontificio 2012 (Libreria Editrice Vaticana, ISBN 978-88-209-8722-0), p. 8*
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Soter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.