Papa Eleutero

Papa Eleutero (kwa Kigiriki Ελευθέριος) alikuwa Papa kuanzia takriban 171/177 hadi kifo chake takriban 185/193[1]. Alitokea Nicopolis, Ugiriki.

Papa Eleutero.

Alimfuata Papa Soter akafuatwa na Papa Viktor I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Mei[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eleutero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.