Papa Urban I
Papa Urban I alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Oktoba 222 hadi kifo chake tarehe 23 Mei 230.
Alimfuata Papa Kalisto I akafuatwa na Papa Ponsyano.
Urban I ni Papa wa kwanza ambaye tarehe zake zina hakika ya kihistoria.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 19 Mei, sikukuu yake[1].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |