Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DARICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
English: Julius Nyerere International Airport
IATA: DARICAO: HTDA
WMO: 63894
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Dar es Salaam, Tanzania
Kitovu cha
Mwinuko 
Juu ya UB
182 ft / 55 m
Anwani ya kijiografia 06°52′41″S 39°12′10″E / 6.87806°S 39.20278°E / -6.87806; 39.20278
Tovuti jnia.aero
Ramani
DAR is located in Tanzania
DAR
DAR
Mahali pa uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
05/23 3,000 9 843 Lami
14/32 1,000 3 281 Lami
Takwimu (2017)
Idadi ya abiria increase 2,385,456
Harakati za ndege increase 75,240
Tani za mizigo decrease 22,014
Julius Nyerere International Airport Terminal III wakati wa usiku - Novemba 2019.
Mahali panapofikiwa kutoka Dar es Salaam.

Jina lake limetolewa kwa heshima ya baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa nchi.

Abiria 2,385,456 walipita humo mwaka 2017.

Kuna barabara kubwa kwa ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.

Tarehe 1 Agosti 2019 ilifunguliwa terminal ya 3 kwa ajili ya safari za kimataifa[1].

Makampuni ya ndege Vifiko 
AB Aviation Moroni
Air Mauritius Mauritius
Air Tanzania Bujumbura,[2] Bukoba, Dodoma, Entebbe,[3] Harare,[4] Iringa,[5] Kigoma, Kilimanjaro, Lusaka,[4][6] Mbeya, Moroni, Mpanda, Mtwara, Mumbai,[7] Mwanza, Tabora, Zanzibar
Air Zimbabwe Harare[8]
As Salaam Air Zanzibar
Auric Air Dodoma, Iringa, Mafia, Morogoro, Pemba, Tanga, Zanzibar
Coastal Aviation Arusha, Kilwa, Mafia, Manyara, Moshi, Pemba, Saadani, Selous, Seronera, Songo Songo, Tanga, Zanzibar
EgyptAir Cairo
Emirates Dubai–International
Ethiopian Airlines Addis Ababa
Ewa Air Dzaoudzi
Fly540 Mombasa, Nairobi–Jomo Kenyatta
Flydubai Dubai–International
Int'Air Îles Moroni
Kenya Airways Nairobi–Jomo Kenyatta
KLM Amsterdam1
LAM Mozambique Airlines Maputo, Nairobi–Jomo Kenyatta, Pemba (Msumbiji)
Malawian Airlines Blantyre, Lilongwe
Oman Air Muscat, Zanzibar[9]
Precision Air[10] Arusha, Bukoba, Entebbe, Kigoma, Kilimanjaro, Moroni, Mtwara, Musoma, Mwanza, Nairobi–Jomo Kenyatta, Seronera, Zanzibar
Qatar Airways Doha
RwandAir Kigali
South African Airways Johannesburg–O. R. Tambo
Swiss International Air Lines Zürich2
Tropical Air Arusha, Mafia, Zanzibar
Turkish Airlines Istanbul[11]
Uganda Airlines Entebbe
ZanAir Arusha, Pemba, Saadani, Selous, Zanzibar

Tanbihi

hariri
  1. "Dar Es Salaam Airport Inaugurate New Terminal 3". TanzaniaInvest (kwa American English). 2019-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-01-06.
  2. https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
  3. https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
  4. 4.0 4.1 "Air Tanzania resumes Harare / Lusaka service from late-Feb 2019". Routesonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 2019-01-11.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Liu, Jim. "Air Tanzania expands domestic network offering from April 2019". Routesonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-07. Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
  7. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 29 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Air Zimbabwe (UM) #438 ✈ FlightAware". Flightaware.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. 2017, UBM (UK) Ltd. "Oman Air S17 changes as of 09MAR17; Singapore suspensions". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017. {{cite web}}: |last= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "PrecisionAir - Home". Precisionairtz.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Istanbul New Airport Transition Delayed Until April 5, 2019 (At The Earliest)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: