Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DARICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Kiingereza: Julius Nyerere International Airport
Julius Nyerere International Airport.jpg
IATA: DARICAO: HTDA
WMO: 63894
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Dar es Salaam, Tanzania
Kitovu cha
Mwinuko 
Juu ya UB
182 ft / 55 m
Anwani ya kijiografia
Tovuti jnia.aero
Ramani
DAR is located in Tanzania
DAR
DAR
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
05/23 3,000 9,843 Lami
14/32 1,000 3,281 Lami
Takwimu (2011)
Idadi ya abiria increase 1,829,219
Harakati za ndege increase 70,460
Tani za mizigo increase 23,946,242

Abiria 1,011,392 walipita humo mwaka 2004. Kuna barabara kubwa ya ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.

Makampuni ya ndege na vifikoEdit

PichaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: