11 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 11)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Aprili ni siku ya 101 ya mwaka (ya 102 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 264.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 146 - Septimius Severus, Kaisari wa Dola la Roma (193-211)
- 1934 - Mark Strand, mshairi kutoka Marekani
- 1964 - Reggie Rockstone, mwanamuziki kutoka Ghana
Waliofariki
hariri- 678 - Papa Donus
- 1903 - Mtakatifu Gemma Galgani, bikira nchini Italia
- 1993 - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 2013 - Jonathan Winters, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco, Gemma Galgani, Elena Guerra n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |