Eneo bunge la Kipipiri


Eneo bunge la Kipipiri ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi nne, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi

WabungeEdit

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 James Kabingu Muregi KANU Mfumo wa chama kimoja
1992 Laban Muchemi Ford Asili
1995 Githiomi Mwangi DP Uchaguzi mdogo
1997 Githiomi Mwangi DP
2002 Amos Kimunya NARC
2007 Amos Kimunya PNU

WadiEdit

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Geta 8,599
Kipiriri 9,589
Lereshwa 5,018
Malewa River 13,911
Jumla 37,117
Septemba 2005 | [2]

MarejeoEdit