Eneo bunge la Mugirango Kaskazini
Eneo bunge la Mugirango Kaskazini ni moja ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya linalopatikana katika Kaunti ya Nyamira.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Idadi ya Wapiga Kura
haririMnamo 1999, Jimbo hili lilikuwa na jumla ya watu 156,344, 89092 kati yao wakiwa wamejiandikisha kupiga kura mnamo 2007.
Historia
haririAwali, eneo la Mugirango Kaskazini lilikuwa eneo moja kubwa. Mnamo 1966, jimbo hili liligawanya na kuwa Mugirango Magharibi na Mugirango Kaskazini iliyopungua. Jina lake lilibadilishwa mnamo 1974 na kuwa Borabu / Mugirango Kaskazini, ambalo mwishowe lilibadilishwa kuwa Mugirango Kaskazini / Borabu mnamo 1986.
Wilfred Moriasi Ombui[1] alikishinda kiti hiki katika Uchaguzi wa 2007 huku akimshinda mpinzani wake Godfrey Masanya Okeri ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge kati ya 2002 na 2007[2].
Wadi za Kupiga Kura
haririWodi ziundazo Mugirango Kaskazini ni: Ekerenyo, North Mugirango Chache, Bomwagamo, Kiabonyoru, Kiangeni, Makenene, Nyansiongo na Esise.
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Maendeleo Afrika,www.afdevinfo.com Ilihifadhiwa 13 Desemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Ripoti ya Maendeleo ya Afrika www.afdevinfo.org Ilihifadhiwa 3 Julai 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mugirango Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |