Fransisko wa Fatima

Fransisko Marto wa Fatima (11 Juni 1908 - 4 Aprili 1919), ni jina la mmojawapo kati ya watoto watatu waliotokewa na malaika wa amani (1916), halafu na Bikira Maria (1917) kwao Fatima, Ureno, pamoja na binamu yake Lusia Santos na dada yake Yasinta Marto.

Picha halisi ya Lusia Santos (kushoto) na binamu zake Fransisco na Yasinta Marto, mwaka 1917.
Mahali pa Fatima nchini Ureno.
Sanamu iliyotiwa taji ya Bikira Maria ya Fatima katika kikanisa kilichopo mahali pa njozi.

Njozi hizo zilithibitishwa na Kanisa Katoliki kuwa za kuaminika[1], hata ikaanzishwa kumbukumbu ya Bikira Maria wa Fatima katika liturujia kila tarehe ya njozi ya kwanza, 13 Mei.

Fransisko, katika miezi iliyofuata na ugonjwa uliommaliza, aling’aa kwa maadili, kwa kuvumilia tabu, kwa imani na kwa kudumu katika sala[2].

Pamoja na dada yake mdogo Yasinta, alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 13 Mei 2000, halafu na Papa Fransisko kuwa mtakatifu tarehe 13 Mei 2017, miaka 100 kamili tangu tukio la kwanza.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Lúcia de Jesus, Memórias, edição crítica de Cristina Sobral, apresentação de Marco Daniel Duarte, Santuário de Fátima, Fátima 2016. ISBN 978-989-8418-08-1
  • Alonso, Joaquín María (1976). La verdad sobre el secreto de Fátima: Fátima sin mitos (kwa Spanish). Centro Mariano "Cor Mariae Centrum". ISBN 978-84-85167-02-9. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Alonso, Joaquin Maria; Kondor, Luis (1998). Fátima in Lúcia's own words: sister Lúcia's memoirs. Secretariado dos Pastorinhos. ISBN 978-972-8524-00-5. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Cuneo, Michael. The Vengeful Virgin: Studies in Contemporary Catholic Apocalypticism. in Robbins, Thomas; Palmer, Susan J. (1997). Millennium, messiahs, and mayhem: contemporary apocalyptic movements. Psychology Press. ISBN 978-0-415-91649-3. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • De Marchi, John (1952). "The Immaculate Heart". New York: Farrar, Straus and Young. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help); Invalid |ref=harv (help)
  • Ferrara, Christopher (2008). The Secret Still Hidden. Good Counsel Publications Inc. ISBN 978-0-9815357-0-8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-15. Iliwekwa mnamo 2017-02-10. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Frère François de Marie des Anges (1994). "Fátima: Tragedy and Triumph". New York, U.S.A. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help); Invalid |ref=harv (help)
  • Frere Michel de la Sainte Trinite (1990). "The Whole Truth About Fátima, Volume III". New York, U.S.A. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help); Invalid |ref=harv (help)
  • Kramer, Father Paul (2002). The Devil's Final Battle. Good Counsel Publications Inc. ISBN 978-0-9663046-5-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-07. Iliwekwa mnamo 2017-02-10. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Haffert, John M. (1993). Her Own Words to the Nuclear Age: The Memoirs of Sr. Lúcia, with Comments by John M. Haffert. The 101 Foundation, Inc. ISBN 1-890137-19-7.
  • Joe Nickell: Looking for a Miracle: Weeping Icons, Relics, Stigmata, Visions & Healing Cures: Prometheus Books: 1998: ISBN 1-57392-680-9
  • Nick Perry and Loreto Echevarria: Under the Heel of Mary: New York: Routledge: 1988: ISBN 0-415-01296-1
  • Sandra Zimdars-Swartz: Encountering Mary: Princeton: Princeton University Press: 1991: ISBN 0-691-07371-6
  • Walsh, William:Our Lady of Fátima: Image: Reissue edition (1 October 1954): 240 pp: ISBN 978-0385028691
  • Marilena Carraro, I pastorelli di Fatima. Apparizioni della Madonna a Lucia, Giacinta e Francesco, Editore EMP, 2008
  • Manuel F. Silva, I pastorelli di Fatima. Una storia di santità quotidiana, Edizioni Paoline, 2009

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.