Eneo bunge la Bondo

(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Bondo)


Eneo bunge la Bondo ni jina la mojawapo ya Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja katiya majimbo sita yanayopatikana katika Kaunti ya Siaya.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Oginga Odinga KPU / KANU
1966 Oginga Odinga KPU
1969 William Odongo Omamo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 John Hezekiah Ougo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 John Hezekiah Ougo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1980 William Odongo Omamo KANU Uchaguzi Mdogo. Mfumo wa Chama Kimoja
1983 William Odongo Omamo KANU One-party system.
1988 Gilbert Paul Oluoch KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Oginga Odinga Ford-Kenya Odinga aliaga wakati akihudumu
1995 Oburu Odinga NDP Uchaguzi Mdogo
1997 Oburu Odinga NDP
2002 Oburu Odinga NARC
2007 Oburu Odinga ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Utawakla wa Mtaa
Ajigo 2,160 Bondo (Mji)
Bar kowino East 1,773 Bondo (Mji)
Bar kowino West 1,010 Bondo (Mji)
Bondo town 3,640 Bondo (Mji)
Maranda West 3,416 Bondo county
North Sakwa 3,258 Bondo county
Nyang'oma 13,420 Bondo county
Nyawita 2,783 Bondo (Mji)
Usigu East 6,021 Bondo county
Usigu West 10,521 Bondo county
Jumla 48,002
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri