Eneo bunge la Magarini


Eneo bunge la Magarini ni jina la Jimbo mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana pwani na ni mojawapo ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Kilifi. Jimbo hili linajumuisha wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la kaunti.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa Jonathan Katana Ndzai wa Chama cha KANU.

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Jonathan Katana Ndzai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Jonathan Katana Ndzai KANU
1997 David Noti Kombe KANU
2002 Harrison Garama Kombe Shirikisho Kiti hiki kilitangazwa wazi na Mahakama Kuu mnamo 2007 [2]
2007 Harrison Garama Kombe Shirikisho Uchaguzi Mdogo
2007 Amason Kingi Jeffah ODM

Kata na Wodi hariri

Kata
Kata Idadi ya Watu*
Adu 11,566
Bungale 12,983
Dagamra 9,827
Fundisa 25,247
Garashi 7,071
Gongoni 23,049
Magarini 38,741
Marafa 14,558
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Adu 3,119
Bungale 2,996
Dagamra 2,733
Fundi-issa 5,574
Garashi 2,324
Gongoni 6,609
Magarini 9,365
Marafa 4,569
Jumla 37,289
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri

  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
  2. Institute For Education In Democracy: Publications & Papers Archived 11 Aprili 2009 at the Wayback Machine.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency