Károly Sándor Pallai


Károly Sándor Pallai (Miskolc, 5 Juni 1986) ni mtafiti wa bahari, mwanasayansi ya fasihi, mfasiri, mshairi na mhariri kutoka Hungaria.

Károly Sándor Pallai

Amezaliwa 5 Juni 1986
Miskolc, Hungaria
Nchi Hungaria
Kazi yake mtafiti wa bahari, mwanasayansi ya fasihi , mfasiri, mshairi
Kipindi Karne ya 21
Ndoa Dr. Mária Patona
Watoto Mátyás Benedek Pallai
Tovuti https://pallaikaroly.com/

Elimu na kazi

hariri

Shahada ya udaktari katika fasihi ya Kifaransa kwa kutafiti fasihi ya Visiwa vya Karibi (Surinam, Antili za Kiholanzi, Martinique, Guadeloupe, Guyana ya Kifaransa), Bahari ya Hindi (Shelisheli, Morisi, Réunion), na Pasifiki (Wallis na Futuna, Polynesia ya Kifaransa, Vanuatu).

Hasa ameandika mashairi yanayohusu uhuru, haki za binadamu, falsafa na utambulisho. Amechapisha mashairi katika lugha kumi za duniani kote.


Utafiti wa monografia

hariri
Mwaka Kichwa Mhariri Urfu ISBN
2017 Microlectures polynésiennes: Îles, consciences et identités dans la littérature contemporaine de la Polynésie française (fasihi ya Polynesia ya Kifaransa) Chuo Kikuu cha Pécs - Acta Romanica Quinqueecclesiensis V. 232 p. 978-963-429-145-9
2017 Mosaïque des océans: Idées, identités et enjeux dans les littératures contemporaines de la Caraïbe, de l'océan Indien et de l’Océanie (fasihi ya Visiwa vya Karibi, Bahari ya Hindi na Pasifiki) Chuo Kikuu cha Pécs - Acta Romanica Quinqueecclesiensis III. 228 p. 978-963-429-116-9
2017 Subjectivités seychelloises: Identité et insularité dans la poésie seychelloise contemporaine (fasihi ya Shelisheli) Chuo Kikuu cha Pécs - Acta Romanica Quinqueecclesiensis II. 113 p. 978-963-429-114-5

Maandishi yake

hariri
Mwaka Kichwa Mji Mhariri Urfu Mtindo ISBN
2013 Liberty Limited Victoria (Shelisheli) Éditions Arthée 133 p. Mashairi 978-99931-846-3-8
2013 Mangeurs d'anémones Victoria (Shelisheli) Éditions Arthée 104 p. Kucheza 978-99931-846-2-1
2012 Soleils invincibles Victoria (Shelisheli) Éditions Arthée 80 p. Mashairi 978-99931-846-1-4

Tafsiri

hariri
Mwaka Kichwa Mwandishi Mji Mhariri Urfu Lugha ISBN Kumbuka
2017 À l'affût de Dieu Fellinger Károly Paris Éditions du Cygne 136 p. Kihungaria -> Kifaransa 978-2-84924-504-0 uteuzi, tafsiri na utangulizi
2017 Bouria, szavak a viharban Denis Emorine Budapest Underground Kiadó 73 p. Kifaransa -> Kihungaria 978-963-12-8966-4 uhahiri, tafsiri na utangulizi
2017 The Treasure Chest Károly Fellinger Bratislava AB-ART 134 p. Kihungaria -> Kiingereza 978-80-8087-205-2 tafsiri
2017 Feuilles d'automna Manolis Aligizakis Paris Éditions du Cygne 56 p. Kiingereza -> Kifaransa 978-2-84924-477-7 uteuzi, tafsiri na utangulizi
2016 Chair impassible Attila F. Balázs Paris Éditions du Cygne 86 p. Kihungaria -> Kifaransa 978-2-84924-460-9 uteuzi, tafsiri na utangulizi
2016 Naissance du visage étranger András Petőcz Paris Éditions du Cygne 82 p. Kihungaria -> Kifaransa 978-2-84924-447-0 uteuzi, tafsiri (na Georges Kassai), ukaguzi
2015 Bétonnière ivre Károly Fellinger Paris Éditions du Cygne 104 p. Kihungaria -> Kifaransa 978-2-84924-428-9 uteuzi, tafsiri na utangulizi

Marejeo

hariri
  • ZHI, Zhang & TINGJIE, Lai (mhariri), World Poetry Yearbook 2014, Uchina, The Earth Culture Press, 2015, pp. 170-171. ISBN 978-0-9712188-1-9/A
  • GOVINDEN, Gerard, “Young oceanist among the greatest minds of his generation”, Seychelles Nation, 28 Aprili 2016, p. 5.
  • KÁROLY, Fellinger, Bétonnière ivre, Paris, Éditions du Cygne, 2015, p. 103. ISBN 978-2-84924-428-9