Rekodi kuu za umma
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 18:43, 2 Aprili 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Leontine Nzeyimana (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Leontine Nzeyimana''' (alizaliwa 27 Desemba mwaka 1973) ni mwanasiasa wa Burundi ambaye amewahi kuwa Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika Ofisi ya Rais wa Burundi kuanzia tarehe 8 Mei mwaka 2012. Pia ni mjumbe wa baraza la mawaziri la Burundi.<ref name=":0">http://www.eac.bi/index.php?option=com_content&view=article&id=139&Itemid=73</ref> Kabla ya hapo, kuanzia Agosti mwaka 2011 hadi Mei mwaka 2012 ali...') Tags: KihaririOneshi Disambiguation links
- 08:58, 2 Aprili 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Esther Kamatari (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Princess Esther Kamatari''' (aliyezaliwa tarehe 30 Novemba mwaka1951 mjini Bujumbura).<ref>https://web.archive.org/web/20180728224716/http://members.iinet.net.au/~royalty/states/africa/burundi.html</ref> ni mwandishi, mwanamitindo na binti wa kifalme wa Burundi aliyehamishwa.<ref>http://royalbridges.org/home/project/hrh-princess-esther-kamatari-of-burundi/</ref> == Wasifu == Esther Kamatari alikulia nchini Burundi kama mwanafamilia wa f...') Tag: KihaririOneshi
- 20:17, 30 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Betty Krosbi Mensah (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Betty Nana Efua Krosbi''' (jina hili pia huandikwa '''Crosby'''<ref>{{Cite web|title=11 Young And Beautiful Ghanaian Female MPs Who Are Inspiring Girls To Dream Big|url=https://web.archive.org/web/20181025031231/https://omgvoice.com/lifestyle/gh-female-mps/|work=web.archive.org|date=2018-10-25|accessdate=2022-03-30}}</ref> au '''Krosby'''<ref>{{Cite web|title=Mensah, Betty Nana Efua Krosby|url=https://ghanamps.com/mp/mensah-betty-nana-efua-krosby/|work=...') Tag: KihaririOneshi
- 08:41, 25 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Sandra "Alexandrina" Don-Arthur (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sandra Don-Arthur''' (aliyezaliwa 22 Aprili 1980) pia anajulikana kama Alexandrina katika tasnia ya maonesho ya biashara na urembo ni msanii wa urembo na Vloga (mtu nayeposti video fupi fupi kwenye mitandao ya kijamii) kutoka nchini Ghana.<ref name=":0">https://www.myjoyonline.com/</ref> Yeye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi wa Alexiglam Studio,<ref>{{Cite web|title=World’s leading makeup brand launches in Ghana on Friday|url=https://c...') Tag: KihaririOneshi
- 19:50, 23 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Wizara ya Masuala ya Wanawake na Watoto (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Wizara ya '''Masuala ya Wanawake na Watoto''' kwa kifupi '''(MWCA)''' au '''Wizara ya Jinsia, Watoto na Ulinzi wa Jamii''' kwa kifupi ni '''(MGCSP)''' ya Ghana ni Wizara ya Serikali inayohusika na uundaji wa Sera zinazokuza uanzishwaji na uhamasihsaji na maendeleo ya masuala ya Wanawake na Watoto.<ref name=":0">{{Cite web|title=Government Institutions|url=https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/republic/ministry.php|work=www.ghanawe...') Tag: KihaririOneshi
- 11:01, 19 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Denise Bucumi-Nkurunziza (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Denise Bucumi-Nkurunziza''' aliyezaliwa tarehe1 Disemba mwaka 1969 ni Waziri aliyewekwa wakfu wa Burundi ambaye alikuwa Mke wa Rais wa Burundi kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2020 kama mke wa Rais Pierre Nkurunziza. Yeye ndiye Waziri pekee aliyewekwa rasmi ambaye amehudumu kama mke wa rais kitu ambacho hakijawahi tokea taifa lolote la Afrika.<ref>{{Cite web|title=Mail & Guardian - Africa's Best Read|url=https://mg.co.za/|w...') Tag: KihaririOneshi
- 09:39, 18 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Marina Barampama (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Marina Barampama''' (aliyezaliwa mwaka 1969) ni mwanasiasa wa Burundi. Alichaguliwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais tarehe 8 Septemba 2006, akichukua nafasi ya Alice Nzomukunda. Alikaa kwenye wadhifa huo kwa muda wa miezi sita, hadi alipofutwa kazi kwa kosa la kumuunga mkono Hussein Radjabu. Aliyekuwa mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Kulinda Demokrasia-Vikosi vya Kulinda Demokrasia (CNDD–FDD)...') Tags: KihaririOneshi Disambiguation links
- 21:12, 17 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Noela Rukundo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Noela Rukundo''' ni mwanamke mwenye uraia pacha wa Burundi-Australia ambaye alijulikana sana baada ya kuaminika amekufa na kujitokeza siku ya mazishi yake mwenyewe. Mnamo Januari 2015, alidhaniwa kuwa amekufa baada ya mumewe, Balenga Kalala, kuwalipa kwa siri watu kadhaa wenye silaha ili wamuue alipokuwa Burundi kwa mazishi ya mama yake wa kambo. Hata hivyo, bila kufahamu mumewe Bwana Kalala, watu hao wenye silaha walika...') Tag: KihaririOneshi
- 13:25, 14 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Mabel Dove Danquah (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mabel Dove Danquah''' alizaliwa mwaka (1905<ref name=":0">{{Cite web|title=Heroes Of Our Time — Ms Mabel Ellen Dove|url=https://www.modernghana.com/news/133915/heroes-of-our-time-ms-mabel-ellen-dove.html|work=Modern Ghana|accessdate=2022-03-14|language=en}}</ref>) mji wa Accra nchini Ghana, alikuwa ni mwandishi wa habari kutoka mji wa Gold Coast mwanzoni mwa mwaka 1984, pia alikuwa mwanaharakati wa kisi...') Tag: KihaririOneshi
- 21:59, 12 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Perpétue Nshimirimana (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Perpétue Nshimirimana''' (amezaliwa Februari 1961) huyu ni mwanadiplomasia na mwandishi kutoka nchini Burundi. Mzaliwa huyu wa Bujumbura, Bi Nshimirimana alibahatika kupata elimu ya juu ya secondary katika shule ya Lycée Clarté Notre Dame iliyopo katika mji Bujumbura kabla ya kusafiri hadi Algeria kwa ajili ya kujiunga na chuo kikuu, ambapo alipata diploma ya uandishi wa habari kutoka chuo cha Natio...') Tag: KihaririOneshi
- 14:28, 12 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Domine Banyankimbona (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Domine Banyankimbona''' (aliyezaliwa 1970)<ref>https://www.presidence.gov.bi/domine-banyankimbona/</ref> anayehudumu kama Waziri wa Utumishi wa Umma, Kazi na Ajira katika Jamhuri ya Burundi.<ref>https://www-ministerefptss-gov-bi.translate.goog/?_x_tr_sl=fr&_x_tr_tl=en&_x_tr_hl=en&_x_tr_pto=nui,sc,elem</ref><ref>https://www-capad-info.translate.goog/spip.php?article234&_x_tr_sl=fr&_x_tr_tl=en&_x_tr_hl=en&_x_tr_pto=nui,sc,elem</ref...') Tags: KihaririOneshi Disambiguation links
- 13:43, 12 Machi 2022 Ceasar255 majadiliano michango created page Utoaji mimba nchini Ghana (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Utoaji mimba nchini Ghana''' inaruhusiwa kisheria'''.''' Utoaji mimba ufanyike katika hospitali ya Serikali pekee; hospitali za kibinafsi zilizosajiliwa, zahanati zilizosajiliwa chini ya Sheria ya Hospitali za Kibinafsi na Nyumba za Wazazi, Sheria ya mwaka 1958 Kifungu (Na. 8) na mahali palipo idhinishwa na Waziri wa Afya na Chombo cha Kutunga Sheria. Utoaji mimba haramu ni makosa ya jinai ambayo yanaweza kuhukum...') Tag: KihaririOneshi
- 10:10, 12 Machi 2022 Akaunti ya mtumiaji Ceasar255 majadiliano michango iliundwa