Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu kwa kila km² (takwimu za mwaka 2015).

Ramani ya nchi za Afrika kulingana na wingi wa watu.

Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia.

Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa pia. [1]

Nafasi Nchi huru au eneo Msongamano (watu/km²) Eneo (km²) Wakazi (kadirio la mwaka 2015)
Mayotte (Ufaransa) 641.7 374 240,000
1 Mauritius 624.0 2,040 1,273,000
2 Rwanda 440.8 26,338 11,610,000
3 Burundi 401.7 27,830 11,179,000
4 Komori 363.1 2,170 788,000
Réunion (Ufaransa) 342.8 2,512 861,000
5 Shelisheli 211.0 455 96,000
6 Nigeria 197.2 923,768 182,202,000
7 São Tomé na Príncipe 189.8 1,001 190,000
8 Gambia 176.2 11,300 1,991,000
9 Uganda 165.4 236,040 39,032,000
10 Malawi 145.3 118,480 17,215,000
11 Cape Verde 129.2 4,033 521,000
12 Togo 128.6 56,785 7,305,000
13 Ghana 114.5 239,460 27,410,000
14 Benin 96.6 112,620 10,880,000
15 Misri 91.4 1,001,450 91,508,000
16 Sierra Leone 89.9 71,740 6,453,000
17 Ethiopia 88.2 1,127,127 99,391,000
18 Kenya 79.0 582,650 46,050,000
19 Senegal 77.1 196,190 15,129,000
20 Moroko 77.0 446,550 34,378,000
21 Eswatini 74.1 17,363 1,287,000
22 Côte d'Ivoire 70.4 322,460 22,702,000
23 Lesotho 70.3 30,355 2,135,000
24 Tunisia 68.8 163,610 11,254,000
25 Burkina Faso 66.0 274,200 18,106,000
26 Tanzania 56.6 945,087 53,470,000
27 Guinea 51.3 245,857 12,609,000
28 Guinea-Bissau 51.1 36,120 1,844,000
29 Cameroon 49.1 475,440 23,344,000
30 Afrika Kusini 44.7 1,219,912 54,490,000
31 Eritrea 43.1 121,320 5,228,000
32 Madagaska 41.3 587,040 24,235,000
33 Liberia 40.4 111,370 4,503,000
34 Zimbabwe 39.9 390,580 15,603,000
35 Jibuti 38.6 23,000 888,000
36 Msumbiji 34.9 801,590 27,978,000
37 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 32.9 2,345,410 77,267,000
38 Guinea ya Ikweta 30.1 28,051 845,000
39 Sudan 21.6 1,861,484 40,235,000
40 Zambia 21.5 752,614 16,212,000
41 Angola 20.1 1,246,700 25,022,000
42 Sudan Kusini 19.2 644,329 12,340,000
43 Somalia 16.9 637,657 10,787,000
44 Algeria 16.7 2,381,740 39,667,000
45 Niger 15.7 1,267,000 19,899,000
46 Mali 14.2 1,240,000 17,600,000
47 Jamhuri ya Kongo 13.5 342,000 4,620,000
48 Chad 10.9 1,284,000 14,037,000
Saint Helena, Ascension na Tristan da Cunha (UK) 19.6 394 7,729
49 Jamhuri ya Afrika ya Kati 7.9 622,984 4,900,000
50 Gabon 6.4 267,667 1,725,000
51 Mauritania 3.9 1,030,700 4,068,000
52 Botswana 3.8 600,370 2,262,000
53 Libya 3.6 1,759,540 6,278,000
54 Namibia 3.0 825,418 2,459,000
Sahara Magharibi 2.2 266,000 573,000
WASTANI/JUMLA 39.1 30,360,301 1,186,178,255

Angalia pia

hariri

Tanbihi

hariri