Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu

Africa (orthographic projection).svg

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu (makadirio ya Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2017).

Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia.

Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa pia.

Orodha ya nchi na maeneo kufuatana na idadi ya wakaziEdit

Cheo Nchi / Eneo Wakazi Marejeo
Dunia 7,550,262,101 [1]
1 Nigeria 190,886,311
2 Ethiopia 104,957,438
3 Misri 97,553,151
4 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 81,339,988
5 Tanzania 57,310,019 [1]
6 Afrika Kusini 56,717,156
7 Kenya 49,699,862
8 Uganda 42,862,958
9 Algeria 41,318,142
10 Sudan 40,533,330
11 Moroko 35,739,580
12 Angola 31,624,264
12 Msumbiji 29,668,834
14 Ghana 28,833,629
15 Madagaska 25,570,895
16 Côte d'Ivoire 24,294,750
17 Kamerun 24,053,727
18 Niger 21,477,348
19 Burkina Faso 19,193,382
20 Malawi 18,622,104
21 Mali 18,541,980
22 Zambia 17,094,130
23 Zimbabwe 16,529,904
24 Senegal 15,850,567
25 Chad 14,899,994
26 Somalia 14,742,523
27 Guinea 12,717,176
28 Sudan Kusini 12,575,714
29 Rwanda 12,208,407
30 Tunisia 11,532,127
31 Benin 11,175,692
32 Burundi 10,864,245
33 Togo 7,797,694
34 Sierra Leone 7,557,212
35 Libya 6,374,616
36 Jamhuri ya Kongo 5,260,750
37 Eritrea 5,068,831
38 Liberia 4,731,906
39 Jamhuri ya Afrika ya Kati 4,659,080
40 Mauritania 4,420,184
41 Namibia 2,533,794
42 Botswana 2,291,661
43 Lesotho 2,233,339
44 Gambia 2,100,568
45 Gabon 2,025,137
46 Guinea-Bisau 1,861,283
47 Eswatini 1,367,254
48 Guinea ya Ikweta 1,267,689
49 Morisi 1,265,138 [2]
50 Jibuti 956,985
51 Réunion (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 876,562
52 Komori 813,912
53 Sahara ya Magharibi 552,628
54 Cabo Verde 546,388
55 Mayotte (eneo la ng'ambo la Ufaransa) 253,045
56 São Tomé na Príncipe 204,327
57 Shelisheli 94,737
58 Saint Helena (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 4,049 [3]
 
Ramani ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu.

TanbihiEdit

  1. Pamoja na Zanzibar
  2. Pamoja na visiwa vya Agalega, Rodrigues na Cargados Carajos
  3. Pamoja na visiwa vya Ascension na Tristan da Cunha

Angalia piaEdit