Eneo bunge la Ruaraka

(Elekezwa kutoka Ruaraka)


Eneo bunge la Ruaraka ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo kumi na saba ya Kaunti ya Nairobi. Ruaraka ni eneo lililoko Nairobi, ambalo asili ya jina lake ni neno la Kikuyu Rui-rua-Aka, inayomaanisha mto na wana wake.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Marejeo

hariri