Wapogolo

(Elekezwa kutoka Wapogoro)

Wapogolo ni kabila la watu kutoka kusini-kati ya nchi ya Tanzania, hususan mkoa wa Morogoro. Lugha yao ni Kipogolo.

Mwaka 1987 idadi ya Wapogolo ilikadiriwa kuwa 185,000 [1].

HistoriaEdit

Inasemekana asili yao ni Afrika Magharibi, hasa katika nchi ya Senegal, pia Afrika ya Kati Congo. Kuna mila nyingi Senegal na ngoma zake nyingi zinafanana na Sangula. Sababu ya kuhamia Tanzania ilikuwa utafutaji wa ardhi ya kilimo na mabadiliko ya hali ya hewa. Waliendelea kuhama zaidi kutoka Senegal na wengine walikimbilia pia Zambia, Zimbabwe na Malawi. Ndiyo maana kuna ukoo mkubwa wa Matimba kule Malawi na huko Zimbabwe.

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wapogolo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.