19 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 19)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Aprili ni siku ya 109 ya mwaka (ya 110 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 256.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1832 - José Echegaray y Eizaguirre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904
- 1912 - Glenn Seaborg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 1968 - Mswati III, mfalme wa Eswatini
Waliofariki
hariri- 1012 - Mtakatifu Alfege, askofu mkuu wa Canterbury (Uingereza) na mfiadini
- 1054 - Mtakatifu Papa Leo IX
- 1824 - George Byron, mshairi Mwingereza
- 1882 - Charles Darwin, mwanasayansi Mwingereza
- 1998 - Octavio Paz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1990
- 2006 - Ellen Kuzwayo, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 2010 - Guru, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2021 - Walter Mondale
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Mapaliko na wenzake, Martha binti Pusisi, Joji wa Antiokia, Geroldi, Alfege wa Canterbury, Papa Leo IX n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-10 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |