Eneo bunge la Sabatia

(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Sabatia)


Eneo bunge la Sabatia ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Vihiga.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge hariri

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge[1] Chama Vidokezo
1988 Moses Mudavadi KANU Mfumo wa chama kimoja. Moses Mudavadi alifarika akiwa kwenye hatamu[2].
1989 Musalia Mudavadi KANU Uchaguzi mdogo, Mfumo wa chama kimoja
1992 Musalia Mudavadi KANU
1997 Musalia Mudavadi KANU
2002 Moses Akaranga NARC
2007 Musalia Mudavadi ODM

Wadi hariri

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Baraza la mtaa
Busali 10,306 Baraza ya mji wa Vihiga
Chavakali 8,292 Manispaa ya Vihiga
Izava 4,052 Manispaa ya Vihiga
Lyaduywa 7,323 Manispaa ya Vihiga
North Maragoli 8,193 Manispaa ya Vihiga
Sabatia West 9,278 Baraza ya mji wa Vihiga
Wodanga 9,087 Baraza ya mji wa Vihiga
Jumla 56,531
Septemba 2005 | [3]

Marejeo hariri

  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
  2. Daily Nation, 3 Septemba 2002: Why Moi is Uncomfortable With Musalia's Candidature
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency