Eneo bunge la Kieni


Eneo Bunge la Kieni ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge hariri

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Joel Muruthi Muriithi KANU Mfumo wa chama kimoja.
1992 David Munene Kairu Democratic Party
1997 David Munene Kairu Democratic Party Kairu alifariki mwaka wa 1998, na kusababisha uchaguzi mdogo.
1998 Chris Murungaru Democratic Party uchaguzi mdogo
2002 Chris Murungaru NARC
2007 Namesyus Warugongo PNU

Wadi hariri

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa mamlaka ya Mtaa
Endarasha 7,913 Baraza la Mji wa Nyeri
Gakawa 7,201 Baraza la Mji wa Nyeri
Gatarakwa 7,813 Baraza la Mji wa Nyeri
Kiamathaga 4,622 Baraza la Mji wa Nyeri
Mugunda 6,547 Baraza la Mji wa Nyeri
Mweiga 12,695 Baraza la Mji wa Nyeri
Naro Moru 9,166 Baraza la Mji wa Nyeri
Ngonde 2,700 Manispaa ya Nyeri
Thegu River 11,540 Baraza la Mji wa Nyeri
Jumla 70,197
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo hariri