Eneo bunge la Kigumo
Eneo bunge la Kigumo ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya, mojawapo wa maeneo bunge saba katika Kaunti ya Murang'a.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Kariuki Karanja Njiiri | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
1969 | Munene J. F. C. | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
1974 | Njuguna Mwangi | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
1979 | Njuguna Mwangi | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
1983 | Francis Mwangi Thuo | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
1988 | Francis Mwangi Thuo | KANU | Mfumo wa Chama kimoja |
1992 | John B. Kirore Mwaura | Ford-Asili | |
1997 | Onesmus Kihara Mwangi | Democratic Party (DP) | |
2002 | Onesmus Kihara Mwangi | NARC | |
2007 | Jamleck Irungu Kamau | PNU |
Wadi
haririEneo bunge hili lina wadi tatu, zote ambazo huchagua madiwani katika Baraza la Mji wa Marague.
Wadi | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Kigumo | 15,392 |
Kinyona | 22,434 |
Muthithi | 17,961 |
Jumla | 55,787 |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kigumo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |