Eneo bunge la Tetu


Eneo bunge la Tetu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo Bunge la Tetu linajumuisha tarafa ya Tetu katika Wilaya ya Nyeri. Eneo Bunge la Tetu lote liko katika eneo la Baraza la Mji wa Nyeri.

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wangari Maathai amekuwa mbunge wa Tetu tangu uchaguzi wa 2002. Alituzwa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004.

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Nahashon Kanyi Waithaka KANU Mfumo wa Chama kimoja.
1992 Joseph Gethenji Democratic Party (DP)
1997 Paul Gikonyo Muya Democratic Party (DP)
2002 Wangari Maathai NARC
2007 Francis Nyammo Party of National Unity (PNU)
'
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Aguthi 14,571
Karundu 9,708
Muhoya 5,719
Tetu 6,494
Thingingi 7,756
Jumla 44,248
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri