29 Januari

tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 29)
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 29 Januari ni siku ya ishirini na tisa ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 336 (337 katika miaka mirefu).

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sharbel na Bebaya, Papia na Mauro, Kostanso wa Perugia, Juventino na Masimino, Valeri wa Trier, Afraate, Gilda, Sulpisi Severi n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 29 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.