Karne ya 16
karne
(Elekezwa kutoka Karne XVI)
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 14 |
Karne ya 15 |
Karne ya 16
| Karne ya 17
| Karne ya 18
| ►
Miaka ya 1500 |
Miaka ya 1510 |
Miaka ya 1520 |
Miaka ya 1530 |
Miaka ya 1540 |
Miaka ya 1550 |
Miaka ya 1560 |
Miaka ya 1570 |
Miaka ya 1580 |
Miaka ya 1590
Karne ya 16 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1501 hadi 1600. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1501 na kuishia 31 Desemba 1600. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
Watu na matukio
hariri- Urekebisho wa Kanisa na Mtaguso wa Trento
- Erasmo wa Rotterdam (Rotterdam 27 Oktoba 1466/1469 - Basel 12 Julai 1536)
- Martin Luther (Eisleben, 1483 - 1546); mwanzo na uenezi wa Uprotestanti
- Vita vya madhehebu Ulaya
- Kalenda ya Gregori
- Koperniki (Torun Poland, 19 Februari 1473 - Frauenburg, Poland, 24 Mei 1543), mwanasayansi
- Michelangelo Buonarroti (Caprese, Arezzo, 6 Machi 1475 - Roma, 18 Februari 1564), mwanasanaa bora
- Fransisko Bacone, mwanafalsafa
- Elizabeti I, Malkia wa Uingereza, anaanzisha ukoloni
- William Shakespeare, mwanafasaha bora wa Kiingereza
- Ignas wa Loyola, mwanzilishi wa Wajesuiti
- Teresa wa Yesu na Yohane wa Msalaba wanarekebisha Wakarmeli