Makongamano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi

kusimamia mikataba na itifaki za mazingira ili kupunguza uzalishaji wa dioksidi kaboni (hewa chafu)

Makongamano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi ni mikutano ya kila mwaka inayofanyika kulingana na Mapatano ya msingi ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC). Inatambulika kama mikutano rasmi ya wanachama wa UNFCCC - Mkutano wa Wanachama (COP).

Mkutano huwa na lengo la kutathmini maendeleo katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, na kwa mara ya kwanza Ulianza kufanyi miaka ya 1990, kujadili Itifaki ya Kyoto(Mkataba wa Kimataifa) ili kuweka majukumu ya kisheria kwa nchi zilizoendelea. kupunguza uzalishaji wao wa Hewa Ukaa au gesi chafuzi . [1] Kuanzia mwaka wa 2005 Mkutano huu umekua ukitumika kama "Mkutano wa Vyama vinavyohudumu na Wanachama wa makataba ya Kyoto" (CMP); pia wahusika katika mkataba ambao si washiriki wa Kyoto wanaweza kushiriki katika mikutano inayohusiana na itifaki kama washiriki. Kuanzia 2011 hadi 2015 mikutano ilitumiwa kujadili Mkataba wa Paris kama sehemu ya jukwaa la Durban, ambalo liliunda njia ya jumla kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. [2] Machapisho yoyote ya mwisho ya COP lazima yakubaliwe kwa makubaliano.

Mkutano wa kwanza wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi ulifanyika mwaka 1995 huko Berlin. [3] [4]

Orodha ya mikutano na maeneo

hariri
N/A. Mwaka Jina Jina Lingine Mahali Mkutano Ulipofanyika Nchi

Vikundi vya Kikanda [5]

1 1995 COP 1 Berlin   Germany Western Europe and Other Group (WEOG)
2 1996 COP 2

Vikundi vya K

Geneva   Switzerland WEOG
3 1997 COP 3 Kyoto   Japan Asia and Pacific Group
4 1998 COP 4 Buenos Aires   Argentina Group of Latin America and the Caribbean (GRULAC)
5 1999 COP 5 Bonn   Germany WEOG
6 2000 COP 6 The Hague   Netherlands WEOG
7 2001 COP 6-2 Bonn   Germany WEOG
8 2001 COP 7 Marrakech   Morocco Africa Group
9 2002 COP 8 New Delhi   India Asia and Pacific Group
10 2003 COP 9 Milan   Italy WEOG (COP President: Hungary, Eastern Europe Group)
11 2004 COP 10 Buenos Aires   Argentina GRULAC
12 2005 COP 11 CMP 1 Montreal   Canada WEOG
13 2006 COP 12 CMP 2 Nairobi   Kenya Africa Group
14 2007 COP 13 CMP 3 Bali   Indonesia Asia and Pacific Group
15 2008 COP 14 CMP 4 Poznań   Poland Eastern Europe Group
16 2009 COP 15 CMP 5 Copenhagen   Denmark WEOG
17 2010 COP 16 CMP 6 Cancún   Mexico GRULAC
18 2011 COP 17 CMP 7 Durban   South Africa Africa Group
19 2012 COP 18 CMP 8 Doha   Qatar Asia and Pacific Group
20 2013 COP 19 CMP 9 Warsaw   Poland Eastern Europe Group
21 2014 COP 20 CMP 10 Lima   Peru GRULAC
22 2015 COP 21 CMP 11 Paris   France WEOG
23 2016 COP 22 CMP 12 / CMA 1 Marrakech   Morocco Africa Group
24 2017 COP 23 CMP 13 / CMA 1-2 Bonn   Germany WEOG (COP President: Fiji, Asia and Pacific Group)
25 2018 COP 24 CMP 14 / CMA 1-3 Katowice   Poland Eastern Europe Group
26 2019 SB50 Bonn   Germany WEOG
27 2019 COP 25 CMP 15 / CMA 2 Madrid   Spain WEOG (COP President: Chile, GRULAC)
28 2021 COP 26 CMP 16 / CMA 3 Glasgow   United Kingdom WEOG
29 2022 COP 27 CMP 17 / CMA 4 Sharm El Sheikh   Egypt Africa Group
30 2023 COP 28 CMP 18 / CMA 5 Dubai   United Arab Emirates Asia and Pacific Group
31 2024 COP 29 CMP 19 / CMA 6 Baku   Azerbaijan Eastern Europe Group
32 2025 COP 30 CMP 20 / CMA 7 Belém   Brazil GRULAC
33 2026 COP 31 CMP 21 / CMA 8 TBC TBC WEOG Australia and Pacific Nations

1995: COP 1, Berlin, Ujerumani

hariri

Mkutano wa kwanza wa UNFCCC wa Wanachama ulifanyika 28 Machi hadi 7 Aprili 1995 huko Berlin, Ujerumani. [6] Wajumbe kutoka Nchi 117 na Nchi 53 za Waangalizi walihudhuria mkutano huo. Moja ya masuala ya msingi ya COP 1 ilikuwa usawa wa ahadi za nchi binafsi, Kuidhinisha mamlaka ya kuanza mchakato wa kuchukua hatua kwa nchi binafsi kwa kipindi baada ya 2000. Hii ilijumuisha kuimarisha ahadi za Wanachama kutoka kwenye Kiambatisho cha I katika Kifungu cha 4.2(a) na (b). [7]

Wajumbe pia walianzisha: awamu ya majaribio ya miradi ya Utekelezaji wa Pamoja; makubaliano kwamba Sekretarieti ya Kudumu iwe katika mji wa Bonn, Ujerumani; na Mashirika Tanzu . Wajumbe wa mkutano hawakuafikiana kuhusu Kanuni na Taratibu, na uamuzi kuhusu sheria za upigaji kura uliahirishwa hadi COP 2. [8]

Tanbihi

hariri
  1. "What is the UNFCCC & the COP". Climate Leaders. Lead India. 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Machi 2009. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Jepsen, Henrik; na wenz. (2021). Negotiating the Paris Agreement: The Insider Stories. Cambridge University Press. ISBN 9781108886246. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-10. Iliwekwa mnamo 2022-12-16.
  3. "Stages of climate change negotiations". Federal Ministry for the Environment, Nature Conservation, Building and Nuclear Safety. 27 Desemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Januari 2017. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2016.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "More Background on the COP". UNFCC. 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2016.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. The GA Handbook: A practical guide to the United Nations General Assembly (PDF) (2 ed.). New York: Permanent Mission of Switzerland to the United Nations. 2017. p. 124. ISBN 978-0-615-49660-3.
  6. {{Citeweb|title=Berlin Climate Change Conference - March 1995|url=https://unfccc.int/conference/berlin-climate-change-conference-march1995%7Caccessdate=20240127%7Cwork=unfccc.int}
  7. "Summary report 28 March – 7 April 1995". IISD (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-03-05.
  8. "Summary report 28 March – 7 April 1995". IISD Earth Negotiations Bulletin (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-03-05.