Papa Boniface IV

Papa Bonifasi IV.

Papa Boniface IV, O.S.B. (takriban 55025 Mei 615) alikuwa papa kuanzia 15 Septemba 608 hadi kifo chake.

Alimfuata Papa Bonifasi III akafuatwa na Papa Adeodato I.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.