Papa Gelasio I

Mt. Gelasius I.

Papa Gelasio I alikuwa papa kuanzia 1 Machi 492 hadi kifo chake tarehe 19 Novemba 496. Alimfuata Papa Felix III akafuatwa na Papa Anastasio II.

Alikuwa papa wa tatu mwenye asili ya Afrika kaskazini.[1]

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehee 21 Novemba.

Maandishi yakeEdit

Kati ya mapapa wa karne za kwanza, ndiye aliyeandika zaidi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Browne, M. (1998). "The Three African Popes.". The Western Journal of Black Studies 22 (1): 57–58. http://www.questia.com/PM.qst?a=o&se=gglsc&d=5001392071. Retrieved 2008-04-10.

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.