Papa Hilarius

Papa Hilarius alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Novemba 461 hadi kifo chake tarehe 29 Februari 468[1]. Alitokea Sardinia, Italia.

Papa Hilarius.

Alimfuata Papa Leo I akafuatwa na Papa Simplicio.

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 29 Februari (28 Februari katika miaka mifupi)[2], lakini pia 17 Novemba.

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Hilarius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.